MAAFA INDONESIA :WATU 130 KUZIKWA KABURI MOJA


Tokeo la picha la picha za tsunami

Miili ya watu waliofariki Indonesia kuzikwa katika Kaburi moja lenye urefu wa Mita 100 limechimbwa kwa ajili ya kuwazika watu 1,30 waliofariki kwa Tsunami na tetemeko, awali kikosi kilielekezwa kuandaa kaburi la miili 300 lakini maelekezo mapya yametaka kaburi hilo liwe kwaajili ya watu 1,30
 Nchi ya Indonesia ilikumbwa na Tsunami na Tetemeko siku ya Ijumaa na mpaka sasa idadi rasmi ya waliofariki ni 832 lakini huenda ikaongezeka kutokana na watu wengi kutoonekana huku juhudi za kufukua vifusi zikiendelea. Uduni wa vifaa vya uokoaji unaelezwa kuchelewesha kuitoa miili 60 ya watu waliokwama kwenye vifusi vya jengo moja la hoteli iliyoanguka.

0 Comments:

Post a Comment