RAIS UHURU KENYATTA ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KWA RAIS MAGUFULI KUFUATIA AJALI YA MELI YA MV. NYERERE


Image result for picha za uhuru kenyatta















Watu mbalimbali kutoka sehemu tofauti tofauti duniani wameendelea kutoa pole kwa taifa la Tanzania ambapo pia Rais  wa  Kenya Uhuru Kenyatta , ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu  zaidi ya 100 waliofariki mpaka sasa kutokana na kivuko cha MV.Nyerere kupinduka Ziwa Victoria tarehe 20 Septemba 2018 


Kupitia ujumbe wake alioutuma katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, ameandika yafuatayo juu ya ajali hiyo


“Kwa niaba yangu na  wananchi wa Kenya, natuma salamu za rambirambi kwa ndugu yangu  Rais Magufuli pamoja na  majirani zetu raia wa Tanzania katika kipindi hiki kigumu kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere kilichozama Ziwa Victoria. ” amesema.

0 Comments:

Post a Comment