
Taarifa iliyotufikia muda huu kutoka mkoani Mwanza ni kuwa Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukara wilayani ukerewe katika ziwa Victoria kimezama huku taarifa zikidai kilikuwa na watu 500 waliokuwemo ndani ya kivuko hicho tarifa za watu waliozama mpaka sasa hazijatufikia.
0 Comments:
Post a Comment