MAILANDE MPEMBA:KAMA UNATAKA KUFANIKIWA IFANYE PESA KUWA RAFIKI YAKO WA KARIBU

Na.Cornelius F.Shija@Cfj media
Dondoo.
Kwa wale wote wenye ndoto na Malengo ya kufanikiwa ni lazima kufikia hatua ya kuiona pesa kuwa rafiki yako wa karibu kwani ili ufanikiwe ukiikataa pesa inakukataa:-Mailande A.Mpemba mwalimu na Mjasiriamali kutoka taasisi ya Angaza na maendeleo.

Ameyasema hayo leo asubuhi 25,Sept,2018 kupitia Kwaneema fm radio(98.1 Mwanza) wakati akifundisha njia ambazo zinaweza kumuingiza mtu katika utajiri kupitia biashara yoyote anayoifanya,Amesema kuwa ukiitazama pesa katika mtizamo hasi hauwezi kufanikiwa kwani inawezekana kwa kila mtu anayefanya kazi kupata pesa na kufikia kuwa tajiri, Pia kutumia fursa ya kutatua changamoto katika jamii inayokuzunguka kulingana na uhitaji ni njia ya kujiongezea pesa," kwahiyo niseme tu kwamba usiangalie tu eneo ulilopo unaweza kuangalia Mwanza Mabucha mengi hayana kuku na ukafanya kitu"

TAZAMA VIEO HAPA CHINI:






0 Comments:

Post a Comment