Picha:Kaimu Mkurugenzi mkuu (kulia)Agness Sitta Kijo akizungumza na Dotto Bulendu Mtangazaji wa kipindi cha Tujadiliane |
Na.Cornelius F.Shija@Cfjmeiatz.
Mamlaka ya
chakula na dawa (TFDA) imesema wananchi wanatakiwa kuwa msitari wa mbele
kufichua taarifa za baadhi ya
wafanyabiashara wanaouza bidhaa ambazo hazijakidhi viwango na bidhaa zinazoingizwa bila kufuata
utaratibu kutokea mamlaka hiyo
Hayo
yamesemwa na Kaimu mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya chakula na dawa Agnee Sitta
Kijo wakati akizungumza na umoja wa club ya wandishi wa habari Tanzania kutoka vyombo mbalimbali
(UTPC) mazungumzo hayo yamefanyika 11.July.2018 katika mandalizi ya kipindi
kinachokuwa kinrushwa kila baada ya mwezi mmoja katika radio mbalimbali
Kijo amesema
kuwa baadhi ya wananchi wasiwe na tabia ya kuona kamamamlaka ipo kwa ajili ya
kuwanyanyasa wafanyabiashara, bali wanalengo la kuhakikisha bihaa zote zinazoingia sokoni ziwe na viwango
pamoja na ubora kwa kushirikiana na shirika la viwango Tanzania (TBS) Kwa
kutimiza sheria ya chakula na dawa ya 2003 sura namba 219
Picha:Wandishi wa Habari katika mandalizi ya kipindi |
Picha :Muonekano katika picha ya pamoja baada ya mandalizi ya kipindi |
0 Comments:
Post a Comment