UVUVI HARAMU MWIKO MKUYUNI

Picha:Mwenyekiti(BMU)Mkuyuni Leonard B.Mpemba

Na Cornelius F.Shija@CFJmediatz.
Jitihada za Serkali kwa kushirikiana na Wizara ya uvuvi zimezaa matunda katika kituo cha uvuvi Mkuyuni Nyamagana mkoani Mwanza baada ya wavuvi kuanzisha uvuvi endelevu kwa mazalia ya samaki na dagaa kwa kutumia zana halali za uvuvi.Mwenyekiti wa wavuvi kutoka katika eneo hilo bw.Leonard B.Mpemba amezungumza na Cfjmediatz ofisini kwake.

Picha:Laurent Paul mvuvi katika eneo la Mkuyuni

















Picha:Mzee Seif Tanu Komanya mmoja wa wavuvi wa muda mrefu toka miaka  ya 1976 pia mwenyekiti wa Taasisi ya Tunza mazingira















Mafanikio ya kukomesha uvuvi haramu ni kutokana na kuwepo kwa vikao vya kila baada ya miezi mitatu baina ya mwenyekiti wa  wavuvi na wavuvi wenyewe.

0 Comments:

Post a Comment