SUMATRA YABADILI USAFIRI DALADALA

Picha; Charles Malunde Nibu kaimu tume ya ushirika mkoa wa Mwanza

Na.Cornelius F. Shija @CFJmediatz.
Mamlaka ya usafiri wa majini na nchi kavu Sumatra mkoani mwanza imeendesha semina na wamiliki wa magari ya daladala pamoja na wadau wengine wa usafiri ili kuwaelimisha namna ya kuanzisha usafiri wa ushirika(Kampuni) ili kurahisisha namna ya usimamizi na mienendo ya vyombo vyao


Picha: Wadau mbalimbali kwenye muonekano wa picha pamoja na Jeshi la polis kikosi cha usalama Barabarani


















Semina hiyo iliyosimamiwa na Mkurugenzi mkuu wa Sumatra mkoani mwanza Mh.Gilliard w. Ngewe amewaasa wamiliki wa magari kuwa kuanzisha ushirika watapata mapato mengi na kuwa na idadi ya wafanya kazi wanaoweza kuwamudu.

0 Comments:

Post a Comment