TRA MWANZA YAZUNGUMZIA KODI YA MAJENGO


Picha: Afisa elimu kwa mlipa kodi kutoka( TRA )Mwanza Lutufya Mtafya
Na.Cornelius F. Shija@cfjmediatz.
Siku zimebaki 2 za Wamiliki wa nyumba kuhitimisha zoezi la ulipaji wa kodi za majengo,leo 28 june Afisa elimu kwa mlipa kodi Jijini Mwanza LUTUFYO MTAFYA, amezungumza offisini kwake na  CFJmediatz. amewataka  wananchi wote kutosubiri faini.
















Bw.Lutafya amesisitiza  kuwa wananchi wanatakiwa kutimiza wajibu ili kuepuka msongamano pamoja na riba ya adhabu ya kuchelewa kulipa kwa mjibu wa sheria,pia Tra mkoa wa mwanza imegawa bili katika kila serkali za mitaa pamoja na mawakala wa bank,na pia mwananchi anaweza kulipia kodi kupitia huduma ya simu.

0 Comments:

Post a Comment