TII SHERIA BILA SHURUTI:AFANDE NINGA GILAGIZA

Picha:Afande Ninga Gilagiza akizungumza kwenye kipindi(Ameongeza kuwa wananchi wanatakiwa kuvuka kwa kutumia Daraja katika sehemu zenye madaraja Rockcity mall na Mabatini)
Na cornelius f. shija@Cfjmediatz
Leo asubuhi 25.June.2018 Katika kipindi cha Mbiu ya Msikilizaji kupitia Kwaneema fm Radio 98.1 Mwanza, Afande Ninga Gilagiza amezungumzia juu ya Watumia Bara bara kutii sheria bila shuruti ili kuepusha Ajali ambazo si za lazima.
Picha:Cornelius F.Shija Mtangazaji wa Kipindi cha MBIU YA MSIKILIZAJI:









0 Comments:

Post a Comment