NYASHANA KUPIMIWA VIWANJA

Picha:Mwenyeki wa Maduhu Lutwenya Sai akizungumza na Wandishi wa habari
(Amesema kuwa kila mwananchi atatakiwa kulipa gharama ya laki 250,000/=kwa ajili ya zoezi hilo la upimaji na urasimishaji viwanja)

 Na Cornelius f.Shija@CFJMEDIA TZ.

Leo tarehe 20.June Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyashana Nyamagana Mwanza Mh. Twega Sai amewatoa wasiwasi wananchi wa Maeneo yake kuhusu kuwepo kwa taarifa za jeshi la wananchi JWTZ kukwamisha zoezi la upimaji na urasimishaji wa viwanja kuwa si kweli, bali wajiandae na zoezi hilo kuanzia 28.June

Picha:Mmoja wa Wananchi Bw.Hamza amepongeza zoezi hilo na kuwataka wananchi wote waitikie zoezi hilo.


0 Comments:

Post a Comment