MAJIBU YA MKURUGENZI WA YUHOMA YANAFURAHISHA

Na.Cornelius F.Shija@Cfjmedia.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Yuhoma Yusufu Yahaya Inayojishughulisha na elimu ya juu katika vyuo vya nje ya nchi yenye makao makuu yake JIjini mwanza katika jengo la Nyanza ghorofa ya pili, Amememfurahisha Waziri wa viwanda na  Mh.Charle Mwijage katika maonesho ya biashara katika eneo la Rockcity Mwanza 04,septemba,2018 alipotembelea banda lao TAZAMA HAPA CHINI .

0 Comments:

Post a Comment