PASTOR NZOGERE AFIKISHA MIAKA18 YA NDOA

Picha;Pastor Zakayo akiongea na mkewe Carol Nzogere


Na.cornelius Shija@CFJMEDIATZ.

Mchungaji wa kanisa la MICC T.A.G Zakayo Nzogere asherekea siku ya madhimisho ya tamasha la shukrani kwa mungu kwa kutimiza miaka 18 ya ndoa yake sherehe hiyo imefanyika kanisani hapo maeneo ya kona ya Nyegezi.



Picha;Familia ya Pastor Zakayo wakiwa Madhabahuni

0 Comments:

Post a Comment